Maonesho ya Kimataifa ya Nairobi (Nairobi International Trade Fair) yatafanyika tarehe 26 Septemba hadi tarehe 2 Oktoba 2022 - Jamhuri Park; huku Maonesho ya Kimataifa ya Mombasa yatafanyika kuanzia tarehe 2 hadi tarehe 6 November 2022.
Maonesho haya nchini Kenya yanalenga kukuza uvumbuzi wa kibiashara na teknolojia katika sekta ya kilimo.
Nafasi za usajili kwa waoneshaji zipo wazi hadi Jumapili, tarehe 25 Septemba 2022. Weka nafasi au tuma maswali kupitia barua pepe: info@nitf.ask.co.ke au wasiliana na Meneja wa Tawi kupitia namba zifuatazo: +254724643701/0722520623/0202641067/8
Kwa tarifa zaidi pitia tovuti ya: https://ask.co.ke/2022/08/25/s-w-kenya-branch-show-migori/
KONGAMANO LA KIBIASHARA KATI YA TANZANIA NA SUDANI KUSINI YAFUNGUA MILANGO YA BIASHARA
Read MoreTANZANIA NA UGANDA KUONDOA VIKWAZO VYA BIASHARA
Read MoreKENYA KUTOA GHALA KWA WAUZA NAFAKA WA TANZANIA
Read More