Country From: UINGEREZA
Country To: JUMUIYA YA AFRICA MASHARIKI
Trade Operation: Agiza nje ya nchi
Description
Leseni ya biashara ni kibali ambacho hutolewa kwa mfanyabiashara au mtoa huduma ili kumpa ruhusu ya kufanya biashara nchini Tanzania. Leseni za kufanya biashara nje ya nchi hutolewa na wakala wa usajili wa biashara na leseni (brela). Muombaji anahitajika kujaza fomu ya maombi na kuiwakilisha ofisi za BRELA au kwa njia ya mtandao. Baada ya maafisa kukagua fomu muombaji atapokea nambari ya malipo ya leseni. Baada ya kufanya malipo muombaji atakabidhiwa leseni yake.Muda wa leseni ni miezi 12.
Online Application : No
Application Url : https://business.go.tz/starting-a-new-business
Cost : 200000
Time Frame : siku 3
Payment Process : Kiwango cha ada ya leseni kinatofautina kulingana na aina ya biashara husika.Malipo kwa njia ya mitandao ya simu na benki kwa kutumia nambari ya malipo(control number) inayotolewa na BRELA
Description
Ili mfanyabiashara aweze kuingiza bidhaa nchini Tanzania,lazima awe na certificate of conformity(CoC).Cheti hiki kinatolewa na makampuni binafsi yaliyoidhinishwa na Shirika la viwango Tanzania(TBS). Bidhaa inahitajika kukaguliwa kabla ya cheti kutolewa. Muagiza wa bidhaa anahitajika kuwasilisha cheti kwa njia ya mtandao kwa ajili ya ukaguzi.
Requirements
Online Application : No
Application Url : https://oas.tbs.go.tz/
Cost : 1
Time Frame : siku 3
Payment Process : hakuna
Description
Tume ya Nishati ya Atomiki Tanzania (TAEC) inadhibiti bidhaa zote za mionzi ambazo zina chembechembe za mionzi na vifaa vinavyozalisha mawimbi ya mionzi nchini Tanzania.TAEC inathibitisha kuwa bidhaa hazina mionzi ambayo ni hitaji la soko kulingana na mahali bidhaa inapotumika. Cheti hutolewa kwa kila shehena
Requirements
Online Application : No
Application Url : https://rac.taec.go.tz/
Cost : 35000
Time Frame : siku 3
Payment Process : Kwa njia ya mitandao ya simu au benki baada ya kupata kumbukumbu namba ya malipo (control number)
Description
Usajili wa majengo ni hitaji la lazima kwa mfanyabiashara ambaye anajishughulisha na uaguzaji,uhifadhi na usambazaji wa vipodozi. Cheti cha usajili wa jengo la kuhifadhi vipodozi inatolewa kwa wafanyabiashara wa vipodozi waliosajiliwa na inasimamiwa na shirika la viwango Tanzania(TBS)

Cost : 150000
Time Frame : wiki 1
Payment Process : Malipo yanaweza kufanyika kupitia mitandao ya simu au benki kwa kutumia namba ya malipo(control number)
Description
Usajili wa bidhaa ni wa lazima kwa vipodozi vyote zinazoingia Tanzania.Shirika la viwango Tanzania limepewa mamlaka ya kuwapa wafanyabiashara cheti cha usajili baada ya ukaguzi wa vipodozi. TBS husajili bidhaa za vyakula na vipodozi zinazozalishwa nje ya nchi na kuingizwa nchini.Bidhaa zinazokidhi viwango tu ndizo husajiliwa na kuruhusiwa kuingizwa nchini.

Cost : 440000
Time Frame : wiki 1
Payment Process : Kwa njia ya mitandao ya simu au benki baada ya kupata namba ya malipo(control number)
Description
Baada ya kupata vyeti vya ubora na uhalali wa mzigo,muagiza kupitia wakala wa forodha atawasilisha nyaraka hizo mamlaka ya mapato Tanzania kwa ajili ya ukaguzi wa mzigo,makadirio na ulipaji wa ushuru.Ushuru ukishalipwa TRA watampatia msafirishaji kibali cha kuondosha mizigo bandarini(release order).
Requirements
Online Application : No
Application Url : https://customs.tra.go.tz/login/login.do
Cost : 1
Time Frame : siku 3
Payment Process : Namba ya malipo(control number) utaipata kutoka TRA,TICTS au wakala wa usafirishaji. Malipo yanaweza kufanyika kupitia bank kwa kutumia namba ya malipo(control number).