Tanzania Women Chamber of Commerce

SHEREHE ZA MAAZIMISHO YA MIAKA 20 YA TWCC

Katika muendelezo wa kusherehekea Miaka 20 ya Chemba ya Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC), tunakuletea Usiku wa sherehe ya kipekee na ya kifahari! 🖤🏆

📅 28 Machi 2026 | ⏰ Kuanzia Saa 10:00 Jioni
📍 The Superdome, Masaki

Tunakukaribisha kushiriki Usiku wa Maadhimisho ya Miaka 20 ya TWCC (Gala Dinner)  pamoja na Tuzo za 6 za Wanawake katika Viwanda na Biashara Tanzania (TWIB Awards) 
Usiku wa kifahari ambapo mafanikio makubwa yanatambuliwa, mitandao na mahusiano ya kibiashara inajengwa, na historia inaandikwa.

Ili Kujiandikisha na Kupata taarifa zaidi bofya link hapo chini kujiunga na group letu la whatsapp 👇
https://chat.whatsapp.com/DLMa8d5vJa13APMeox7OtB?mode=hq1tswi

🎟️ Gharama ya Ticket:
- Mwanachama: TSh 50,000/-
- Asiye Mwanachama: TSh 70,000/-
- VIP: TSh 100,000/-
- Meza (Watu kumi): TSh 1,000,000/-

💳 Malipo yafanyike kupitia:
CRDB Bank: 01J102902110
M-Pesa: 0757823962
Voda Lipa: 50924801
Jina la Akaunti: Tanzania Women Chamber of Commerce

👗 Rangi Rasmi ya Sherehe: Black & Gold 🖤✨

Hii siyo Gala Dinner ya kawaida.
💪 Sherehekea Mafanikio. Jenga Mitandao. Wawezeshe Wanawake. Imarisha Uchumi.

#TWCC20Years #TWIBAwards #WanawakeBiashara #WanawakeTanzania #GalaDinner #UwezeshajiWanawake #WanawakeViongozi #Masaki #DarEsSalaam

Related Articles

Tanzania Women Chamber of Commerce | 12-07-2022

RAIS MWINYI AWAPONGEZA WAJASIRIAMALI WA TWCC

Read More
Tanzania Women Chamber of Commerce | 11-09-2022

TWCC WOMEN IN BUSINESS BREAKFAST MEETING 10 SEPTEMBA 2022

Read More
Tanzania Women Chamber of Commerce | 11-09-2022

ZIARA YA WANAWAKE NCHINI UTURUKI KUANZIA TAREHE 11-19 OKTOBA, 2022

Read More