Blandy Product
TZS 7000/ KILOGRAMU
In StockMinimum Order Quantity : 1 KILOGRAMU
Minimum Order Amount : TZS 7000
Description
Blandy product ni unga mzuri sana wa lishe,ambao unafaida nyingi sana kwa watoto,wajawazito na rika zote,mtamu unaradha unanukia,na ni mlaini sana !!!Napatikana Mkoa wa Lindi ,wilaya ya Nachingwea,karibuni sana!!!
